Back to Browse

Buki - Jana (Teaser)

6.1K views
Jun 15, 2024
0:45

#jana #Buki #hitsong Produced by Morebeatz & GopaBeatz For Bookings: Contacts -- [email protected] [email protected] Connect With Buki On: Instagram: https://instagram.com/buki_tz/ Lyrics: Nimefunzwa na ngariba Nguzo ya mapenzi tabasamu Njoo nikupe kauli za Huba Za pwani mimi mzaramu Nimeumbiwa mahaba Kucheat cheat Haramu Kwenye mali mahamuma Ila mapenzi imamu Kama unanipenda Ninunulie zeze aaah Nikilala kitandani Aah Zeze lanibembeleza Kama unanipenda Simama tucheze aah Wendo wangu wahubani aaah Pendo limenilegeza aaaanha Jana nililala nikakuota Nikakuwaza Kwa yako mapenzi mpenzi utaniumiza Jana nililala nikakuota Nikakuwaza Kwa yako mapenzi Mpenzi utaniumiza I love you Nyang’anyang’a X2 Bora nitoke machozi Nikiwa kando yako Kuliko nienjoy mimi Mbali nawe Bora hata ukonde mwili Nikiwa kando yako Kuliko ninawiri mimi Mbali nawe Uuuuuuh uuh Raja ko Rani se pyaar Ho Gaya(राजा को रानी से प्रेम हो गया) Uuuuuuh uuuh Mseme musiseme nimezamia Aaaah aaah Lalalilalilalah siwezi ongea Haya kwangu ni mapya Kanipania Kama unanipenda aaah ninunulie zeze aanha Nikilala kitandani Zeze lanibembeleza Kama unanipenda Simama tucheze We ndo wahubani Pendo limenilegeza Jana nililala Nikakuota nikakuwaza Kwa yako mapenzi Mpenzi utaniumiza Uuuuuh jana nililala Nikakuota Nikakuwaza Kwa yako mapenzi Mpenzi utaniumiza I love you Nyang’anyang’a X2

Download

0 formats

No download links available.

Buki - Jana (Teaser) | NatokHD