Episode ya pili inaendelea pale ambapo hakuna anayemwamini Shaka, lakini yeye anaamini akili yake kuliko kila mtu.
Hii si story ya kawaida — ni mapambano ya maisha, marafiki, na maamuzi magumu yanayoweza kubadilisha kila kitu.
#shaka #shakaseries #shakaepisode1 #shakayoutubeseries #swahiliseries #swahilikomedy #tanzanianseries #africancomedy #africanseries #leonardocomedian #leonardocomedy #comedyseriesafrica #swahilidrama #africanyoutube #reallifecomedy #streetcomedy #africanstorytelling #comedye1 #2026swahiliseries