Hii ni series inayomuhusu Mchapeni , kijana ambae hapendi shule, mtukutu na mkorofi hivyo kupelekea kukutana na binti Zainabu wanaanzisha mahusiano na safari yao ya mahusiano kusababisha Zainabu kusema yeye tayari..................................
Tayari ni nini???? Endelea kufuatilia series hii kunamengi ya kujifunza na kufurahisha pia.
#comed #upcoming #foryou #kiparabrand #clamvevo #pasar #azamtv #panjugang ##kpnazebuu #kelvin #mkojani#chumvinyingi #chendu #chadomasta