Back to Browse

MSALABA WANGU [1]

60.9K views
Jan 24, 2026
28:45

🎬 MSALABA WANGU Msalaba Wangu ni filamu ya drama inayomfuata kijana aliyebaki na jukumu zito la kumuuguza mama mkwe wake baada ya kifo cha mkewe. Akiwa bado na maumivu ya kumpoteza mpendwa wake, analazimika kuvumilia changamoto za maisha na majaribu makubwa. Wakati huo huo, anajikuta akirithi hazina ya siri yenye nguvu kubwa, jambo linalomfanya kuwa shabaha ya wachawi wanaotaka kuichukua kwa nguvu. Kati ya mateso ya maisha na vita ya kichawi, kijana huyu analazimika kubeba MATATIZO YAKE (msalaba wake) mpaka mwisho. 👉 Drama yenye kugusa moyo na kufundisha. #filamubrand #panjugang #kiparabrand #clamvevo #lovestory #wivu #muuzamaji105

Download

0 formats

No download links available.

MSALABA WANGU [1] | NatokHD