Hii ni ngoma ya MSOLOPA inayochezwa na kabila la Wamwera kutoka mkoa wa Lindi, Msolopa ni ngoma ya sherehe . Hawa wazee wameanza kucheza ngoma hii tagia wakiwa vijana na kundi lao halijavunyika hadi leo.
No download links available.