π’ PANJU GANG INAWATANGAZIA π’
Kutakuwa na AUDITION (Usaili) kwa ajili ya series mpya ya Panju Gang.
π Siku: Jumapili
β° Muda: Saa 3:00 asubuhi
π Mahali: Makao Makuu ya Panju Gang, Chanika Mwisho β kwa Ostadhi Jani, Jumba la Camera
β οΈ NB: Usaili huu ni kwa ajili ya wakazi wa Dar es Salaam pekee.
Kwa mawasiliano zaidi: β 0687 748 121