Back to Browse

Nitaogopa nini

542.8K views
Feb 3, 2021
5:39

Nitaogopa nini gizani duniani? Sikuachiwa peke’ mbali ya tumaini! Mwokozi yu karibu, asiyebadilika. Hutunza ndege ndogo na mimi kadhalika Pambio: Namshukuru Mungu asiyebadilika. Hutunza ndege ndogo na mimi kadhalika. 2. “E’ usifadhaike moyoni mwako, mwana”, anong’oneza Yesu, “Nitegemee sana! ” Na hapo woga wangu waruka kwa hakika. Hutunza ndege ndogo na mimi kadhalika 3. Na nikijaribiwa na jua lifichwapo, hata sioni raha, wala faraja hapo, nakimbilia Yesu, na yote yapinduka. Hutunza ndege ndogo na mimi kadhalika

Download

0 formats

No download links available.

Nitaogopa nini | NatokHD