Eid jamaa imefika Sote tuko furahani Mitaani ukifika Wana wako sururuni Furaha yetu hakika Tunu toka kwa mannaani صلى الله على محمد صلى الله عليه وسلم
No download links available.