Back to Browse

Raking Braino -Haiwezekani (Visualizer)

1.3K views
Sep 13, 2025
2:57

#haiwezekani #rakingbraino #Gblessing Wimbo wa mapenzi uliobeba hisia nyingi na kuumizwa na mtu uliyempenda Audio : Tokal Beats Video : Jackson Omwenga(Jacney films) Lyrics Ulidhani nakutania nilipokwambia kupata kama mimi Itakuwa ngumu pengine nizaliwe kwa mara ya pili Make up kilo kumi usoni Figure la Uturuki,ulivyofuga kucha hata kufua matatizo Kule kukesha,kitambaa cheupe Element Masaki, Savannah mezani umepakatwa na mijibaba Kidogo uniue kwa pressure, Maji ulizidi unga,sikutaka mke tu Bali mama bora kwa wanangu, Kurudiana na wewe Haiwezekani Haiwezekani Haiwezekani iiiih Haiwezekani Kurudiana na wewe Ex sawa tu na matapishi Nawezaje Mimi kula matapishi Kacheze unakochezaga Nimekikinai chakula Nimekuchoka mpishi Niili...kuvumilia mangapi Ilimradi Tu,tuishi Uongo mwingi ubiishi Huambiliki,arusi umeipamba vilio Imekuwa mazishi Kule kukesha,kitambaa cheupe Element Masaki, Savannah mezani umepakatwa na mijibaba Kidogo uniue kwa pressure, Maji ulizidi unga,sikutaka mke tu Bali mama bora kwa wanangu, Kurudiana na wewe Haiwezekani Haiwezekani iiih Haiwezekani iiiih Haiwezekani Kurudiana na wewe

Download

0 formats

No download links available.

Raking Braino -Haiwezekani (Visualizer) | NatokHD