Karibu uangalie tamthilia kamili ya SIFURI โ mchanganyiko wa vichekesho na maisha halisi ya kila siku, mapenzi ya maumivu, na visa vya kusisimua vilivyotokea mtaani.
๐ฌ Aina: Drama / Comedy
๐ Imeandikwa na: Elias Shelukindo
๐ Mahali: Tanzania ๐น๐ฟ
Tamthilia hii imebeba visa vya kweli, ucheshi wa hali ya juu, mapenzi ya kweli na maisha ya watu wa kawaida. Usikose dakika hata moja!
๐ SUBSCRIBE kwa msimu ujao na tamthilia zingine kali kutoka kwetu!
#SifuriSeason1 #TamthiliaZaKiswahili #BongoSeries #DramaYaKibongo #ComedyYaKibongo