Lyrics: Chorus Simama imara jilinde Neno lake Bwana imara Kesha kila siku uombe Utasimama Verse Milima yote na mabonde Itayeyuka Neno lake Bwana imara Litasimama Chorus Simama imara jilinde Neno lake Bwana imara Kesha kila siku uone Utasimama
No download links available.