Penzi la kubeti linaleta Tafrani. Kasheshe juu ya Kasheshe...
kila siku anarudi nyumbani usiku wa manane, na mke wake anazidi kuchoka na migogoro isiyoisha.
Je, mapenzi yao yataendelea au ndoa itavunjika kabisa kutokana na kubeti?
Tazama drama hii yenye hisia kali, migogoro ya ndoa, usaliti wa kihisia na maamuzi magumu yanayoweza kubadilisha maisha ya familia hii milele.
👉 Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa ajili ya episodes zaidi za kusisimua.
#Drama #SwahiliDrama #BongoMovie #Kubeti #Mapenzi #Ndoa #Lovestory #Series #TanzaniaSeies #Episode1