Walikuja kutafuta Location kwa ajili ya kufanya Movie yao ndani ya huo MSITU…
lakini wakapatikana wao wenyewe.
MSITU una masharti.
Ukiyavunja, hauondoki kama ulivyoingia.
MSITU 🌲
#MSITU #HorrorKiswahili #MovieYaKutisha
#AfricanHorror #SwahiliHorror #ForestHorror
#SeriesYaKutisha #Episode1 #Laana
#BongoMovie #DarkFolklore #scarymovies
#netflix
#2026
#actionmovies
#bongoseries