DHORUBA
#christianmusic #upliftingmusic DHORUBA (Mathayo 8:23-27 or Mathew 8:23-27) Verse 1 Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye. Ghafla, dhoruba kali ikatokea ziwani, hata mawimbi yakaanza kuifunika mashua. Yesu alikuwa amelala usingizi. Wanafunzi wakamwendea, wakamwamsha wakisema, “Bwana, tuokoe, tunaangamia!” Yesu akawaambia, “Enyi watu wenye imani haba; mbona mnaogopa?” Basi, akainuka, akakemea upepo na mawimbi; kukawa shwari kabisa. Watu wakashangaa, wakasema, “Ni mtu wa namna gani huyu? Hata upepo na mawimbi vinamtii!” Chorus Yesu akakemea upepo na mawimbi; kukawa shwari kabisa. kukawa shwari kabisa. “Bwana, tuokoe, tunaangamia!” “Bwana, tuokoe, tunaangamia!” Chorus Yesu akakemea upepo na mawimbi; kukawa shwari kabisa. kukawa shwari kabisa. Bridge Itakuwa shwari, mwite Yesu Itakuwa shwari, Yesu yu karibu
Download
0 formatsNo download links available.