MWAMBA
#christianmusic #upliftingmusic MWAMBA (Mathayo 7:24-27 or Mathew 7:24-27) Juu juu juu Juu juu juu Chorus Jenga juu ya mwamba Jenga juu ya mwamba Afadhali juu ya mwamba Verse 1 “Kwa sababu hiyo, kila mtu anayeyasikia maneno yangu na kuyazingatia, anafanana na mtu mwenye busara, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba. Mvua ikanyesha, mito ikafurika, pepo kali zikavuma na kuipiga nyumba hiyo. Lakini haikuanguka kwa sababu ilikuwa imejengwa juu ya mwamba. “Lakini yeyote anayesikia maneno yangu haya bila kuyazingatia, anafanana na mtu mpumbavu aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga. Mvua ikanyesha, mito ikafurika, pepo kali zikavuma na kuipiga nyumba hiyo, nayo ikaanguka; tena kwa kishindo kikubwa.” Chorus Jenga juu ya mwamba Jenga juu ya mwamba Afadhali juu ya mwamba Bridge Juu juu juu ya mwamba Juu juu juu ya mwamba
Download
0 formatsNo download links available.