Back to Browse

OMBA

141 views
Apr 11, 2025
3:10

#upliftingmusic #christianmusic OMBA (Mathayo 7:7-11 or Mathew 7:7-11) Omba omba omba Verse 1 “Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni, nanyi mtafunguliwa. Maana, aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye hufunguliwa. Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? Kama basi ninyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: atawapa mema wale wanaomwomba. chorus aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye hufunguliwa. Tafuta tafuta tafuta chorus aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye hufunguliwa. Bisha bisha bisha

Download

0 formats

No download links available.

OMBA | NatokHD